Thursday, 18 February 2016

Baadhi ya walimu wa Nyakahura wakiwa nje ya ubalozi wa Tanzania Nchini Rwanda.

karibu sana nyakahura blog

4 comments:

  1. asante nyakahura kuwalea watoto nawe komenti chochote

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pongezi kwa uongozi wa shule ya sekondari Nyakahura kwa kutambua umuhimu wa kutumia mtandao katika mawasiliano. Tutegemee kupata mengi ikiwemo kupata maendeleo ya wanafunzi ili watu wengi wapate chachu ya kuichagua Nyakahura sekondari.

      Delete