Walimu wa Nyakahura Sekondari wakiongozwa na Mkuu wa Shule Mwl.Regius Ishengoma wa nne kutoka kulia kwenye mstari wa kwanza.
Meneja wa CRDB Biharamulo akisalimiana na wachezaji katika kilele cha ligi Aug 2015
Mwalimu wa nidhamu Mwl.Adonise A.Johnstone akiwakaribisha wanafunzi wa kidato cha tano 2015
Meneja wa CRDB Biharamulo akisalimiana na wachezaji katika kilele cha ligi Aug 2015
Baadhi ya wanafunzi waliohitimu kidato cha sita mwaka huu.
No comments:
Post a Comment