JAMHURI YA MUUNGANO WA TANAZANIA
OFISI YA RAISI -TAMISEMI
Namba za simu Shule ya sekondarinyakahura…sekondari
Mkuu wa shule0752134334/0787201404 S.L.p 193
Makamu Mkuu wa Shule 0786087767 Tarehe..
Matron 0759975215 /Patron 0765091862
Mzazi/Mlezi wa Mwanafunzi
S.L.P..
..
YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI NYAKAHURA HALMASHAURI YA BIHARAMULO MKOA KAGERA MWAKA 2017
Nafurahi kukutaarifu kuwa mwnao amechaguliwa kujinnnga na kidato cha Tano katika shle hii mwaka 2017 tahasusi ya Shule ya Sekondari Nyakahura ipo umbali wa Kilometa 75 Kaskazini/Kusini/Mashariki/Mahgaribi mwa mji wa Biharamulo Usafiri wa basi kutoka mjini Biharamulo unapatikana katika kituo cha mabasi Biharamulo nauli ni shilingi 6,000/=
Muhula wa masomo unaanza tarehe 17/7/2017 Hivyo mwnafunzi anatakiwa kuripoti shule tarehe 17/7/2017 Mwisho wa kuripoti ni tarehe 01/08/2017
Mambo muhimu ya kuzingatia:-
Mambo muhimu ya kuzingatia.
2 SARE ZA SHULE
WASICHANA
- DARASANI
Sketi nyeusi mshono wa linda box kubwa mbele na nyumainayozidi magoti au suruari kwa wasichana wa kiislamu (Hijjabu) kama ilivyoambatanishwa nyuma ya fomu hii.
Shati mbili nyeupe za mikono mirefu aina ya Tetron, iliyo na alama ya kidato cha tano mabegani ya kitambaa cha rangi nyeusi ( unatakiwa uje nayo kutoka nyumbani)
Viatu vya ngozi nyeusi jozi mbili visivyo na kisigino kirefu.
Soksi ndefu nyeupe
Sweta kwa ajili ya baridi rangi ya Kijani(inapatikana shuleni )
Tisheti 2 zenye Kola zinapatikana shuleni
Hijjabu kwa wasichana wa Kiislamu kwa wale watakaopenda kuvaa hivyo. Rangi ya Hijjab ifanane na sare ya shule.
-NJE YA DARASA
(i) Gauni 2 rangi ya damu ya mzee (maruni) kitambaa cha sukarisukari.
WAVULANA
-DARASANI
Suruwali nyeusi (yenye marinda mawili kila upande) kama ilivyo ambatanishwa,harusiwi kuja na suruali ya Modal au aina yoyote ile ya nguo kama sio sare ya shule.
Shati mbili nyeupe za mikono mirefu
Viatu vya ngozi nyeusi jozi mbili.
Soksi nyeusi
Sweta kwa ajili ya baridi rangi ya Kijani(inapatikana hapa shule )
Vifaa vya malazi, chakula na usafi:-
Tisheti 2 zenye kora (zinapatikana shuleni)
-NJE YA DARASA
(ii) Suruali 2 za kushindia kitambaa rangi ya damu Ya mzee
- Mopa, Jembe,Kotama , kwa wasichana
vilevile Wavulana walete jembe,Kwanja na mfagio wa ndani au wa nje.
-Godoro la ft 21/2 ,Sahani, Bakuri, kikombe na kijiko kwa ajili ya chakula
-Ndoo mbili za plastic, moja ya matumizi yake binafisi na moja ya shule pamoja na beseni.
-Mwanafunzi lazima aje na Chandarua
-Blanketi - Ni muhimu kuja nayo.
-Shuka mbili za rangi ya pinki.
-Rim A4
- Toilet paper 10 (mhula wa kwanza 5)
N.B Vilevile kuna maduka yapo karibu na shule vifaa hivyo vinapatikana,
Vifaa vya masomo:-
Daftari 5 kubwa kwa kuanzia (Counter book)
Daftari 10 ndogo kwa ajili ya majaribio ya mwezi.
Kalamu ya wino-bluu au nyeusi
Mfuko wa vitabu (school bag).
Mathematical set
Dictionary
Mwanafunzi aje na kitabu kimojawapo katika masomo ambayo amechaguliwa.
Wanafunzi watakao soma mahesabu na Economics na Geografia waje na Scientific Calculator.
Vifaa vya michezo
Utatakiwa kuwa na vifaa vya michezo vifuatavyo, ili kuvitumia wakati wa michezo mbalimbali hapa shuleni na nje ya shule.
Viatu vya raba
Bukta mbili kwa wavulana rangi ya bluu.
Track kwa wasichana rangi ya bluu.
Fulana (T-shirt) rangi ya bluu.
Sheria na kanuni muhimu za shule hii:-
Shule inaendeshwa, kwa mujibu wa sheria ya elimu Na 25 ya mwaka 1978. Aidha inazingatia miongozo yote inayotolewa na wizara yenye dhamana ya elimu nchini. Pamoja na fomu hii ya kujiunga na shule, naambatanisha sheria za shule hii.
Afya ya mwanafunzi. Nimeambatanisha Medical examination form ambayo itajazwa na mganga Mkuu wa Hospitali ya serikari. Fomu hii itakabidhiwa kwa mkuu wa shule mara utakaporipoti shuleni.
Naambatanisha fomu ya kuandikishwa shuleni, pamoja na ahadi ya mzazi/mlezi
2.2. Ada na Michango ya shule
Ada ya shule kwa mwaka ni shilingi 70,000.00/ nusu mwaka ni 35,000.00. Fedha hizo zilipwe kupitia Akaunti ya shule Na 3171200096 (nyakahura recurrent akaunti) katika Benki ya N.M.B. (tafadhali andika jina la mwanafunzi kwenye pay in slip)
Michango inayotakiwa kulipwa na kila mzazi ni:-
Shilingi 15,000/= kwa ajili ya ukarabati wa samani.
Shilingi 6,000/= kwa ajili ya kitambulisho na picha.
Shilingi 20,000/= kwa ajili ya taaluma
Shilingi 30,000 kwa ajili ya kuwalipa wapishi, walinzi na vibarua wengine.
Shilingi 2,000 nembo ya shule
Shilingi 10,000/= kwa ajili ya huduma ya kwanza Tshs. 5,000/= na Bima ya Afya Tshs. 5,000/=(wanafunzi washauriwe kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya CHF kikaya)
Shilingi 20,000/= Mitihani ya kujipima mock
Shilingi 10,000/= kukodisha godoro kwa muhula endapo yanapatikana shuleni isiwe lazima)
Fedha ya tahadhari 5000/= (haitarejeshwa).
Mwanafunzi aje na dawa ya chooni lita 5.
NB. KILA MWANAFUNZI AJE NA BENK STATEMENT INAYOONYESHA MICHANGO HIYO.
NAZIDI KUWAKUMBUSHA KUWA MKIWEKA MICHANGO HIYO KWENYE BENK ANDIKA NA JINA LA ALIYETUMA FEDHA HIZO
Kulingana na mazingira ya shule yangu bodi ya shule na Kikao cha wazazi tumekubaliana mwanafunzi anatakiwa kuchangia fedha katika maeneo yafuatayo:-
Shilingi 25,000/= kwa ajili ya kiti na meza
Shilingi 25,000/= kwa ajili ya kitanda
Shilingi 50,000 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu.
MAKOSA YATAKAYOSABABISHA MWANAFUNZI KUFUKUZWA SHULE
Wizi
Kutohudhuria masomo kwa zaidi ya siku 90 bila taarifa/utoro
Kugoma na kuhamasisha mgomo
Kutoa lugha chafu kwa wanafunzi wenzake, waliu/walezi na jamii kea ujumla.
Kupigana mwanafuzi kwa mwanafunzi, kumpiga mwalimu au na mtu yeyote yule.
Kusuka nyele kwa mtindo usiokubalika . Wanafunzi wote wanatakiwa kuwa na nywele fupi wakati wote wawapo shuleni au kusuka kwa mtindo wa ususi uliokubalika na uongozo wa shule
Uelvi au unywaji wa pombe na matumizi ya madawa ya kulevya
Uvutaji wa sigara
Uasherati, uhusiano wa jinsia moja, kuoa au kuolewa
Kupata ujauzito au kutoa mimba
Kushiriki matendo ya uhalifu, siasa na matendo yoyote yale yanayovunja sheria za nchi;
Kusababisha mimba au kumpa mimba msichana
Kutembelea majumba ya starehe na nyumba za kulala wageni
Kumiliki, kukutwa au kutumia simu ya mkononi katika mazingira ya shule.
Kudharau Bendera ya Taifa
Kufanya jaribio lolote la kujiung, au kutishia kujiua kama kunya sumu n.k
Uharibifu wa mali ya Umma kwa mkusudi.
Viambatanishi na fomu Muhimu
a). fomu ya Uchaguzi wa Afya (medica Examination Form) ambayo itajzwa na Mganga Mkuu wa hospitali ya Serikali.
FOMU YA KUANDIKISHWASHULE
(Ijazwe kwa herufi kubwa na irejeshwe kwa mkuu wa shule)
Jina kamili..
Tarehe ya kuzaliwa Wilaya..Mkoa.
Taifa...Dini:RC/Anglican/Lutheran/Muslim/Pentecoste/n.k..
Shule ya sekondari unayotoka....
Jina la Baba/Mama/Mlezi...
Anwani yake.
Kazi ya Baba/Mama/Mlezi..
Namba ya simu...
AHADI YA MWANAFUNZI.
Mimi.nimeyasoma na kuyaelewa maelekezo yote ambayo ni pamoja na sheria na kanuni za shule na nimekubali kuingia kidato cha tano katika shule ya sekondari Nyakahura kuanzia tarehe..hadi nitakapo maliza kidato cha sita.
Kwa hiyo naahidi kwamba:-
Nitazitii sheria zote za shule na kutimiza mambo yote muhimu yaliyotajwa
Sitashiriki vitendo vya hujuma wala vitendo ambavyo vitakuwa kinyume na uongozi wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Nitatunza mali ya umma ambayo ni pamoja na majengo, samani, vitabu n.k.
Tarehe sahihi ya mwanafunzi..
AHADI YA MZAZI/MLEZI.
Mimi ...ambye ni mzazi/mlezi wa mwanafunzi.ninahaidi kwamba:-
Nitashirikiana na uongozi wa shule, walimu na watumishi wasio walimu katika kuhakikisha, mwanangu anatii sheria na kanuni za shule ya sekondari Nyakahura na iwapo atashindwa kutii sheria hizo, nitalazimika kumuondoa katika hosteli.
2. Nitafanya kila niwezalo kumwezesha mwanangu, kusoma kwa kulipa Ada na michango mingine kama ilivyoelekezwa na shule.
Tarehe
Sahihi.Namba ya simu:
VIAMBATANISHO NA FOMU MUHIUMU
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANI
SHULE YA SEKONDARI..
S.L.P
BIHARAMULO
TAREHE
FOMU
MGANGA MKUU WA MKOA /WILAYA/KITUO CHA AFYA
Jina.amechaguliwa kujiunga na Kidato cha ..
Katika shule hii, ili kuendelea na masomo ni lazima apimwe kwanza.
Nitafurai iwapo mbali na kupimwa kajana huyu ataangaliwa uwezo wa kuona macho yake.
Kama imeshauriwa avae miwani hana budi kuinunua yeye mwenyewe kwa fedha yake.
Tafadhari nijazie sehemu inayohusika chini baada ya kumpima.
Ahsante kwa ushirikiano
MKUU WA SHULE
MKUU WA WA SHULE
SEKONDARI
S.L.P..
BIHARAMULO
Nimepima mwanafunzi aliyetazwa hapo juu nakuoa kwamba ana matatizo/ugonjwa wa;
A Kifua kikuu..
B Macho.
C Masikio..
D Akili..
E Kilema chochote
F Choo
G Kwa wasichana tu nimeona/hana mimba.
H Mengineyo
SAINI MHURI WA OFISI.
MGANGA MKUU WA MKOA/WILAYA/KITUO CHA AFYA
NB.
Uongozi wa shule unakutakia maandalizi mema na safari njema ya kuja hapa shuleni.
NACHUKUA NAFASI HII TENA KUKUPONGEZA NA KUKUKARIBISHA .
Wako katika Ujenzi wa Taifa
BOAZ P. KAMUGISHA (MAKAMU WA MKUU WA SHULE)
SIM. 0766235699/ 0786087767
R.ISHENGOMA (MKUU WA SHULE)
SIMU 0752134334/ 0787201405
NACHUKUA NAFASI HII TENA KUKUPONGEZA NA KUKUKARIBISHA .
Wako katika Ujenzi wa Taifa
BOAZ P. KAMUGISHA (MAKAMU WA MKUU WA SHULE)
SIM. 0766235699/ 0786087767
R.ISHENGOMA (MKUU WA SHULE)
SIMU 0752134334/ 0787201405
NYAKAHURA S. SCHOOL: Picha za Kumbukumbu za Nyakahura Sekondari.
ReplyDelete@Aman Ally Bakina
2014-2016
Hongera sana Nyakahura sec.school kwa kufungua blog hii.Hakika imerahisisha kupata taarifa mbalimbali zilizjoiri na zinazoihusu shule yetu pendwa.
Bigup sana Mr.Ishengoma particullary appreciates to Mr.Boazi Kamugisha the core initiator.
May Allah bless you all.
asante kutukubali tutajitahidi kuwafikishia habari. jitahidi kushare
DeleteIt is real amaizing and makes something new in the history of Nyakahura sec.school for the initiated blog.
ReplyDeleteObviously a lot of details,data as well as informations will be easy obtained through this blogger.
Now we can get the real Nyakahura sec.@kagera nchini Tanzania,,,wherever we are alound the worldwide at any time. But not that which is just found in Kenya.
Very very wonderfully!!
thanks ally god bless us
DeleteGood job but bad arrangement make sure you attach it as PDF file
ReplyDeleteNovert Wilson,
ReplyDeletewhere can I download A-level joining instructions?
it's no clear seen
Hii joining instruction inatumika hadi mwaka huu 2020?!
ReplyDeleteNataka nichukue fomu ya hii shule
ReplyDeleteHello ninataka unitumie kwenye WhatsApp fom
ReplyDeleteFomu zenu tunazipataje??
ReplyDeleteSAFI
ReplyDeleteNaomba joining instructions kwa mwaka wa masomo 2022/2023 nitumieni wasap0744727800
ReplyDeleteNaomba join instructions kwa mwaka wa masomo 2022-2023 kwan nataka kufanyaaaa maandaliz ya mapema ili kuepuka usumbufu tafadhali nitumoe kwenye whasapp no 0684411378
ReplyDeleteNaitwa imma naomba kutumiwa joining instructions kwa ajili ya maandalizi kupitia whatsaap 0689055363
ReplyDeleteMwaka wa masomo 2022/2023
ReplyDelete