JAMHURI YA MUUNGANO WA TANAZANIA
OFISI YA RAISI -TAMISEMI
Namba za simu Shule ya sekondarinyakahura…sekondari
Mkuu wa shule0752134334/0787201404 S.L.p 193
Makamu Mkuu wa Shule 0786087767 Tarehe..
Matron 0759975215 /Patron 0765091862
Mzazi/Mlezi wa Mwanafunzi
S.L.P..
..
YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI NYAKAHURA HALMASHAURI YA BIHARAMULO MKOA KAGERA MWAKA 2017
Nafurahi kukutaarifu kuwa mwnao amechaguliwa kujinnnga na kidato cha Tano katika shle hii mwaka 2017 tahasusi ya Shule ya Sekondari Nyakahura ipo umbali wa Kilometa 75 Kaskazini/Kusini/Mashariki/Mahgaribi mwa mji wa Biharamulo Usafiri wa basi kutoka mjini Biharamulo unapatikana katika kituo cha mabasi Biharamulo nauli ni shilingi 6,000/=
Muhula wa masomo unaanza tarehe 17/7/2017 Hivyo mwnafunzi anatakiwa kuripoti shule tarehe 17/7/2017 Mwisho wa kuripoti ni tarehe 01/08/2017
Mambo muhimu ya kuzingatia:-
Mambo muhimu ya kuzingatia.
2 SARE ZA SHULE
WASICHANA
- DARASANI
Sketi nyeusi mshono wa linda box kubwa mbele na nyumainayozidi magoti au suruari kwa wasichana wa kiislamu (Hijjabu) kama ilivyoambatanishwa nyuma ya fomu hii.
Shati mbili nyeupe za mikono mirefu aina ya Tetron, iliyo na alama ya kidato cha tano mabegani ya kitambaa cha rangi nyeusi ( unatakiwa uje nayo kutoka nyumbani)
Viatu vya ngozi nyeusi jozi mbili visivyo na kisigino kirefu.
Soksi ndefu nyeupe
Sweta kwa ajili ya baridi rangi ya Kijani(inapatikana shuleni )
Tisheti 2 zenye Kola zinapatikana shuleni
Hijjabu kwa wasichana wa Kiislamu kwa wale watakaopenda kuvaa hivyo. Rangi ya Hijjab ifanane na sare ya shule.
-NJE YA DARASA
(i) Gauni 2 rangi ya damu ya mzee (maruni) kitambaa cha sukarisukari.
WAVULANA
-DARASANI
Suruwali nyeusi (yenye marinda mawili kila upande) kama ilivyo ambatanishwa,harusiwi kuja na suruali ya Modal au aina yoyote ile ya nguo kama sio sare ya shule.
Shati mbili nyeupe za mikono mirefu
Viatu vya ngozi nyeusi jozi mbili.
Soksi nyeusi
Sweta kwa ajili ya baridi rangi ya Kijani(inapatikana hapa shule )
Vifaa vya malazi, chakula na usafi:-
Tisheti 2 zenye kora (zinapatikana shuleni)
-NJE YA DARASA
(ii) Suruali 2 za kushindia kitambaa rangi ya damu Ya mzee
- Mopa, Jembe,Kotama , kwa wasichana
vilevile Wavulana walete jembe,Kwanja na mfagio wa ndani au wa nje.
-Godoro la ft 21/2 ,Sahani, Bakuri, kikombe na kijiko kwa ajili ya chakula
-Ndoo mbili za plastic, moja ya matumizi yake binafisi na moja ya shule pamoja na beseni.
-Mwanafunzi lazima aje na Chandarua
-Blanketi - Ni muhimu kuja nayo.
-Shuka mbili za rangi ya pinki.
-Rim A4
- Toilet paper 10 (mhula wa kwanza 5)
N.B Vilevile kuna maduka yapo karibu na shule vifaa hivyo vinapatikana,
Vifaa vya masomo:-
Daftari 5 kubwa kwa kuanzia (Counter book)
Daftari 10 ndogo kwa ajili ya majaribio ya mwezi.
Kalamu ya wino-bluu au nyeusi
Mfuko wa vitabu (school bag).
Mathematical set
Dictionary
Mwanafunzi aje na kitabu kimojawapo katika masomo ambayo amechaguliwa.
Wanafunzi watakao soma mahesabu na Economics na Geografia waje na Scientific Calculator.
Vifaa vya michezo
Utatakiwa kuwa na vifaa vya michezo vifuatavyo, ili kuvitumia wakati wa michezo mbalimbali hapa shuleni na nje ya shule.
Viatu vya raba
Bukta mbili kwa wavulana rangi ya bluu.
Track kwa wasichana rangi ya bluu.
Fulana (T-shirt) rangi ya bluu.
Sheria na kanuni muhimu za shule hii:-
Shule inaendeshwa, kwa mujibu wa sheria ya elimu Na 25 ya mwaka 1978. Aidha inazingatia miongozo yote inayotolewa na wizara yenye dhamana ya elimu nchini. Pamoja na fomu hii ya kujiunga na shule, naambatanisha sheria za shule hii.
Afya ya mwanafunzi. Nimeambatanisha Medical examination form ambayo itajazwa na mganga Mkuu wa Hospitali ya serikari. Fomu hii itakabidhiwa kwa mkuu wa shule mara utakaporipoti shuleni.
Naambatanisha fomu ya kuandikishwa shuleni, pamoja na ahadi ya mzazi/mlezi
2.2. Ada na Michango ya shule
Ada ya shule kwa mwaka ni shilingi 70,000.00/ nusu mwaka ni 35,000.00. Fedha hizo zilipwe kupitia Akaunti ya shule Na 3171200096 (nyakahura recurrent akaunti) katika Benki ya N.M.B. (tafadhali andika jina la mwanafunzi kwenye pay in slip)
Michango inayotakiwa kulipwa na kila mzazi ni:-
Shilingi 15,000/= kwa ajili ya ukarabati wa samani.
Shilingi 6,000/= kwa ajili ya kitambulisho na picha.
Shilingi 20,000/= kwa ajili ya taaluma
Shilingi 30,000 kwa ajili ya kuwalipa wapishi, walinzi na vibarua wengine.
Shilingi 2,000 nembo ya shule
Shilingi 10,000/= kwa ajili ya huduma ya kwanza Tshs. 5,000/= na Bima ya Afya Tshs. 5,000/=(wanafunzi washauriwe kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya CHF kikaya)
Shilingi 20,000/= Mitihani ya kujipima mock
Shilingi 10,000/= kukodisha godoro kwa muhula endapo yanapatikana shuleni isiwe lazima)
Fedha ya tahadhari 5000/= (haitarejeshwa).
Mwanafunzi aje na dawa ya chooni lita 5.
NB. KILA MWANAFUNZI AJE NA BENK STATEMENT INAYOONYESHA MICHANGO HIYO.
NAZIDI KUWAKUMBUSHA KUWA MKIWEKA MICHANGO HIYO KWENYE BENK ANDIKA NA JINA LA ALIYETUMA FEDHA HIZO
Kulingana na mazingira ya shule yangu bodi ya shule na Kikao cha wazazi tumekubaliana mwanafunzi anatakiwa kuchangia fedha katika maeneo yafuatayo:-
Shilingi 25,000/= kwa ajili ya kiti na meza
Shilingi 25,000/= kwa ajili ya kitanda
Shilingi 50,000 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu.
MAKOSA YATAKAYOSABABISHA MWANAFUNZI KUFUKUZWA SHULE
Wizi
Kutohudhuria masomo kwa zaidi ya siku 90 bila taarifa/utoro
Kugoma na kuhamasisha mgomo
Kutoa lugha chafu kwa wanafunzi wenzake, waliu/walezi na jamii kea ujumla.
Kupigana mwanafuzi kwa mwanafunzi, kumpiga mwalimu au na mtu yeyote yule.
Kusuka nyele kwa mtindo usiokubalika . Wanafunzi wote wanatakiwa kuwa na nywele fupi wakati wote wawapo shuleni au kusuka kwa mtindo wa ususi uliokubalika na uongozo wa shule
Uelvi au unywaji wa pombe na matumizi ya madawa ya kulevya
Uvutaji wa sigara
Uasherati, uhusiano wa jinsia moja, kuoa au kuolewa
Kupata ujauzito au kutoa mimba
Kushiriki matendo ya uhalifu, siasa na matendo yoyote yale yanayovunja sheria za nchi;
Kusababisha mimba au kumpa mimba msichana
Kutembelea majumba ya starehe na nyumba za kulala wageni
Kumiliki, kukutwa au kutumia simu ya mkononi katika mazingira ya shule.
Kudharau Bendera ya Taifa
Kufanya jaribio lolote la kujiung, au kutishia kujiua kama kunya sumu n.k
Uharibifu wa mali ya Umma kwa mkusudi.
Viambatanishi na fomu Muhimu
a). fomu ya Uchaguzi wa Afya (medica Examination Form) ambayo itajzwa na Mganga Mkuu wa hospitali ya Serikali.
FOMU YA KUANDIKISHWASHULE
(Ijazwe kwa herufi kubwa na irejeshwe kwa mkuu wa shule)
Jina kamili..
Tarehe ya kuzaliwa Wilaya..Mkoa.
Taifa...Dini:RC/Anglican/Lutheran/Muslim/Pentecoste/n.k..
Shule ya sekondari unayotoka....
Jina la Baba/Mama/Mlezi...
Anwani yake.
Kazi ya Baba/Mama/Mlezi..
Namba ya simu...
AHADI YA MWANAFUNZI.
Mimi.nimeyasoma na kuyaelewa maelekezo yote ambayo ni pamoja na sheria na kanuni za shule na nimekubali kuingia kidato cha tano katika shule ya sekondari Nyakahura kuanzia tarehe..hadi nitakapo maliza kidato cha sita.
Kwa hiyo naahidi kwamba:-
Nitazitii sheria zote za shule na kutimiza mambo yote muhimu yaliyotajwa
Sitashiriki vitendo vya hujuma wala vitendo ambavyo vitakuwa kinyume na uongozi wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Nitatunza mali ya umma ambayo ni pamoja na majengo, samani, vitabu n.k.
Tarehe sahihi ya mwanafunzi..
AHADI YA MZAZI/MLEZI.
Mimi ...ambye ni mzazi/mlezi wa mwanafunzi.ninahaidi kwamba:-
Nitashirikiana na uongozi wa shule, walimu na watumishi wasio walimu katika kuhakikisha, mwanangu anatii sheria na kanuni za shule ya sekondari Nyakahura na iwapo atashindwa kutii sheria hizo, nitalazimika kumuondoa katika hosteli.
2. Nitafanya kila niwezalo kumwezesha mwanangu, kusoma kwa kulipa Ada na michango mingine kama ilivyoelekezwa na shule.
Tarehe
Sahihi.Namba ya simu:
VIAMBATANISHO NA FOMU MUHIUMU
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANI
SHULE YA SEKONDARI..
S.L.P
BIHARAMULO
TAREHE
FOMU
MGANGA MKUU WA MKOA /WILAYA/KITUO CHA AFYA
Jina.amechaguliwa kujiunga na Kidato cha ..
Katika shule hii, ili kuendelea na masomo ni lazima apimwe kwanza.
Nitafurai iwapo mbali na kupimwa kajana huyu ataangaliwa uwezo wa kuona macho yake.
Kama imeshauriwa avae miwani hana budi kuinunua yeye mwenyewe kwa fedha yake.
Tafadhari nijazie sehemu inayohusika chini baada ya kumpima.
Ahsante kwa ushirikiano
MKUU WA SHULE
MKUU WA WA SHULE
SEKONDARI
S.L.P..
BIHARAMULO
Nimepima mwanafunzi aliyetazwa hapo juu nakuoa kwamba ana matatizo/ugonjwa wa;
A Kifua kikuu..
B Macho.
C Masikio..
D Akili..
E Kilema chochote
F Choo
G Kwa wasichana tu nimeona/hana mimba.
H Mengineyo
SAINI MHURI WA OFISI.
MGANGA MKUU WA MKOA/WILAYA/KITUO CHA AFYA
NB.
Uongozi wa shule unakutakia maandalizi mema na safari njema ya kuja hapa shuleni.
NACHUKUA NAFASI HII TENA KUKUPONGEZA NA KUKUKARIBISHA .
Wako katika Ujenzi wa Taifa
BOAZ P. KAMUGISHA (MAKAMU WA MKUU WA SHULE)
SIM. 0766235699/ 0786087767
R.ISHENGOMA (MKUU WA SHULE)
SIMU 0752134334/ 0787201405
NACHUKUA NAFASI HII TENA KUKUPONGEZA NA KUKUKARIBISHA .
Wako katika Ujenzi wa Taifa
BOAZ P. KAMUGISHA (MAKAMU WA MKUU WA SHULE)
SIM. 0766235699/ 0786087767
R.ISHENGOMA (MKUU WA SHULE)
SIMU 0752134334/ 0787201405
NYAKAHURA S. SCHOOL: Picha za Kumbukumbu za Nyakahura Sekondari.
Wednesday, 21 June 2017
Tuesday, 28 June 2016
JOINING INSTRUCTION 2016
JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU SAYANSI, TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI
HALMASHAUI YA WILAYA YA
BIHARAMULO
S.L.P.193,
BIHARAMULO.
KUMB.Na.ED/NSS/S1349/V0L2/2016 ………… ……………………………
Email: nyakahuras1349@gmail.com
Blog: nyakahuras1349.blogspot.com
Ndugu………………………….…………………………..
…………………….…………………………………………….
FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA
TANO- 2016. KWA MASOMO YA ……………….
- Ninayofuraha kukufahamisha kuwa umechaguliwa kuingia kidato cha tano katika shule hii mwaka 2016 .
Shule
ya Sekondari Nyakahura ipo Wilaya ya
Biharamulo Mkoa wa Kagera, umbali wa kilometa 75 magharibi ya makao makuu ya
wilaya ya Biharamulo.
Muhula
wa kwanza wa masomo unaanza tarehe ………………unatakiwa kuripoti shuleni kuanzia
tarehe…………………..na mwisho wa kuripoti ni tarehe………………………..
Mambo muhimu ya
kuzingatia.
2 SARE ZA SHULE
- WASICHANA
- DARASANI
(i)
Sketi nyeusi mshono wa rinda bokisi au suruari
kwa wasichana wa kiislamu (Hijjabu)
(ii)
Shati mbili nyeupe za
mikono mirefu aina ya Tetron.
(iii)
Viatu vya ngozi nyeusi jozi
mbili visivyo na kisigino kirefu.
(iv)
Soksi ndefu nyeupe zisizo na maandishi ya aina yoyote.
(v)
Sweta kwa ajili ya baridi (inapatikana
shuleni 14,000/=)
Hijjabu kwa wasichana wa Kiislamu
kwa wale watakaopenda kuvaa hivyo. Rangi ya Hijjab ifanane na sare ya shule.
-NJE YA DARASA
(i) Gauni rangi ya damu ya mzee (maruni) kitambaa cha
sukarisukari vilevile shuleni
- WAVULANA
-DARASANI
(i)
Suruwali nyeusi (yenye
marinda mawili kila upande)
(ii)
Shati mbili nyeupe za mikono mirefu
(iii)
Viatu vya ngozi nyeusi jozi mbili.
(iv)
Soksi nyeusi
(v)
Sweta kwa ajili ya baridi (inapatikana shule Tshs.14,000/=)
-NJE YA DARASA
(i)
Suruali ya kushindia kitambaa rangi ya damu ya mzee (maruni)
NB:
Vitambaa vya sare ya shule vinapatikana shuleni
Ada na michango ya shule:-
(a).
Ada ya shule kwa mwaka ni shilingi 70,000/=, unatakiwa kulipa shilingi 35,000/=
kwa muhula mmoja.
(b).
Michango inayotakiwa kulipwa na kila mzazi ni:-
(i) Tsh
20,000/= ukarabati
(ii)
Tshs 20,000/= kwa ajili ya
tahadhari
(iii) Tshs
15,000/= kwa ajili ya kutengeneza kiti na meza
(iv)
Tshs 15,000/= kwa ajili ya taaluma
(v)
Tshs 5,000/= kwa ajili ya walinzi
(vi) Tshs 5,000/= kwa ajili ya wapishi
(vii Tshs
50,000/= kwa ajili ya kutengeneza
Kitanda kwa sababu vilivyopo havitoshi.
(viii) Tshs 30,000 Matibabu
Jumla
kuu 230,000/=
Michango hiyo ilipwe kwenye
akaunt hii NYAKAHURA SEC SCHOOL
RECURRENT 3171200096.(NMB)
NB.
KILA MWANAFUNZI AJE NA BANK
PAYS SLIP INAYOONYESHA MICHANGO HIYO.
B)
(i) Tshs 5,000/= kwa ajili ya kitambulisho
(ii) Tshs
14,000/= Sweta
(vi) Tshs 4000/=
picha za passport size.
(v) Tsh
12,000/= mchango wa tsherti. (ya kora)
(vi)
Tsh 5000 /= kwa ajili ya tai
Jumla kuu 40,000/=
Michango
hiyo aje nayo shuleni, asiweke kwenye account ya shule
Vifaa
vya malazi, chakula na usafi:-
(i)
Reki na mopa kwa wasichana
(ii)
Mifagio ya ndani na nje ( soft broom na hard broom) ya plastic kwa
wavulana
(iii)
Godoro la ft 21/2
,Sahani, Bakuri, kikombe na kijiko kwa
ajili ya chakula
(iv)
Ndoo moja ya plastic lita
20 ya matumizi ya shule pia mwanafunzi anashauriwa kuja na
ndoo ya matumizi yake binafsi pamoja na beseni.
(v)
Mwanafunzi lazima aje na Chandarua
(vi)
Blanketi - Ni muhimu kuja nayo.
(vii)
Shuka mbili za rangi ya pinki.
(viii)
Rim A4
(ix)
Toilet paper – 10 (mhula wa kwanza 5)
N.B ili kuepuka usumbufu
wa kubeba mizigo baadhi ya vifaa vinapatikana
katika maduka yaliyopo jirani na
shuleni ni pamoja na; Reki, mopa, soft
bloom, hard bloom, ndoo, godoro,
sahani, bakuli, kikombe, kijiko, beseni, chandarua, toilet paper, rim, daftari,shuka,
shati za shule na mathematical set
Vifaa vya masomo:-
(i)
Daftari 5 kubwa kwa kuanzia (Counter book)
(ii)
Daftari 10 ndogo kwa ajili ya majaribio ya mwezi.
(iii)
Kalamu ya wino-bluu au nyeusi
(iv)
Mfuko wa vitabu (school bag).
(v)
Mathematical set
(vi)
Dictionary
(vii)
Mwanafunzi aje na kitabu
kimojawapo katika masomo ambayo amechaguliwa
Vifaa vya michezo
Utatakiwa
kuwa na vifaa vya michezo vifuatavyo, ili kuvitumia wakati wa michezo
mbalimbali hapa shuleni na nje ya shule.
(i)
Viatu vya raba
(ii)
Bukta mbili kwa wavulana
rangi ya bluu.
(iii)
Track kwa wasichana rangi ya bluu.
(iv)
Fulana (T-shirt) rangi ya bluu.
Sheria na kanuni muhimu za shule
hii:-
Shule
inaendeshwa, kwa mujibu wa sheria ya elimu Na 25 ya mwaka 1978. Aidha
inazingatia miongozo yote inayotolewa na wizara yenye dhamana ya elimu nchini.
Pamoja na fomu hii ya kujiunga na shule, naambatanisha sheria za shule hii.
Mahitaji mengine:-
a.
Afya ya mwanafunzi. Nimeambatanisha “Medical examination form”
ambayo itajazwa na mganga Mkuu wa Hospitali ya serikari. Fomu hii itakabidhiwa kwa mkuu wa shule mara
utakaporipoti shuleni.
NB.
Uongozi
wa shule unakutakia maandalizi mema na safari njema ya kuja hapa shuleni.
NAZIDI
KUWAKUMBUSHA KUWA MKIWEKA MICHANGO HIYO
KWENYE BENK ANDIKA NA JINA LA ALIYETUMA FEDHA HIZO.
NACHUKUA
NAFASI HII TENA KUKUPONGEZA NA KUKUKARIBISHA .
Wako
katika Ujenzi wa Taifa
BOAZ P.
KAMUGISHA (MAKAMU WA MKUU WA SHULE)
SIM. 0766235699/ 0786087767
R.ISHENGOMA (MKUU WA SHULE)
SIMU 0752134334/ 0787201405
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU SAYANSI,
TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI
SHULE YA SEKONDARI NYAKAHURA
SHERIA
NA KANUNI ZA SHULE
Sheria za shule zinatungwa
kufuatana na maadili ya Taifa letu. Lengo ni kutoa mwongozo na msaada kwa
mwanafunzi ambaye anatarajia awe raia na mzalendo wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania.
Utii
wa sheria za shule ni utii wa sheria za Taifa letu. Shule imepewa jukumu la kulea na kuelimisha
vijana ili badaye wawe raia wema wa Taifa hili. Sharti mwanafunzi kufuata
kanuni na sheria za shule.
Zifutazo ni sheria za shule na
kila mwanafunzi anatakiwa aziheshimu na kuzizingatia ipasavyo:-
- Mwanafunzi sharti aweheshimu walimu na wafanyakazi wote wa shule ambao ni walezi wake. Ajiepushe na lugha chafu, utovu wa nidhamu kwa walezi hawa. Inampasa mwanafunzi kusimama sawa anapomwona mwalimu au mfanyakazi na mgeni na yeyote yule ambaye anamzidi umri na kumuamkia ipasavyo.
- Ni kosa kubwa kwa mwanafunzi kukataa kufanya kazi za shule, au adhabu ya mwalimu au kiongozi yoyote yule wa wanafunzi aliye chaguliwa kwa mujibu wa sheria.
- Kila mwanafunzi ni lazima ahudhurie vipindi vyote vya darasani na nje alivyopangiwa kwa wakati uliopangwa. Ni kosa kubwa kukosa vipindi bila sababu maalum.
- Nimarufuku mwanafunzi kutoka nje ya mipaka ya shule isipokuwa kwa kibali maalumu cha mkuu wa shule. Kila mwanafunzi atawajibika kufahamu mipaka ya shule na kuzingatia kikamilifu maelezo juu ya kuwepo ndani na nje ya mipaka ya shule wakati wote wa uanafunzi wako katika shule hii.
- Kila mwanafunzi atalazimika kuzingatia ratiba ya siku nzima na kuitekeleza ”Daily Routine”
- Kila mwanafunzi analazimika kuvaa sare ya shule wakati wote unapotakiwa shule na nje ya shule.
- Kila mwanafunzi analazimika kuhudhuria maandalio ya jioni (Night Preparation)
- Ni lazima mwanafunzi ajiepushe na makosa ambayo yanaweza kusababisha afukuzwe shule.
Ø Wizi
Ø Uasherati,
ubakaji na ushoga.
Ø Ulevi
na matumizi mabaya ya dawa za kulevya.
Ø Uvutaji
wa bangi.
Ø Makosa
ya jinai
Ø Kupigana
au kupiga
Ø Kuharibu
kwa makusudi mali ya umma
Ø Kudharau
Bedera ya Taifa na picha za viongozi wakuu wa serikali.
Ø Kuoa
au kuolewa.
Ø Kupata
mimba au kusababisha mimba ndani na nje
ya shule.
Ø Kutoa
mimba.
Ø Kugoma,
kuchochea na kuongoza au kuvuruga amani na usalama wa watu.
Ø Kukataa
adhabu makusudi.
Ø Kuwa
na simu ya mkononi
Ø Kuvaa
suruwali aina ya modal shuleni
- Wanafunzi hawaruhusiwi kutembelea sehemu zifuatazo isipokuwa kwa kibali maalumu:-
Ø Chumba
cha walimu (staff room)
Ø Ofisi
za shule
Ø Maabara
Ø Jikoni
Ø Nyumba
za walimu na wafanyakazi wasio walimu
10. Ni
marufuku kwa mwanafunzi kutembelea sehemu zifuatazo:-
Ø Vilabu
vya pombe
Ø Majumba
ya sitarehe
Ø Majumba
ya kufikia wageni.
11.
Ni marufuku wanafunzi kuvaa kofia, viatu vya ghorofa na mapambo
mengine mfano herein, vidani, mikufu na bangili Nk.
12.
Ni wajibu wa kila mwanafunzi kufanya usafi wa mazingira pamoja na
usafi wake binafsi. Nywele ndefu haziruhusiwi; hivyo ni wajibu wa kila
mwanafunzi kuhakikisha nywele zake ni fupi.
13.
Ni kosa mwanafunzi kutumia lugha mbaya kwa wanafunzi wenzake, kwa
mwalimu au kwa watu wengine.
14.
Mwanafunzi haruhusiwi kumiliki simu ya aina yoyote ile awapo hapa
shuleni.
15 Kila mwanafunzi lazima aje na cheti cha
kuzaliwa na cheti kinachothibitisha afya yake kutoka
katika Hospitari ya serikali ya Wilaya ,Mkoa
au Teule.
SKETI: IVUKE MAGOTI NA
ISHONWE KAMA INAVYOONESHWA KATIKA MCHORO HUU
JAMHURI
YA MUUNGANO YA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI,
TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI
SHULE YA SEKONDARI - NYAKAHURA
FOMU YA KUANDIKISHWA–SHULE
(Ijazwe
kwa herufi kubwa na irejeshwe kwa mkuu wa shule)
- Jina kamili……………………………………………………………………………………..
Tarehe
ya kuzaliwa………………… Wilaya…………………..Mkoa……….………
Taifa………...Dini:RC/Anglican/Lutheran/Muslim/Pentecoste/n.k…………..
Shule
ya sekondari unayotoka…………………………………………………….…...
2.
Jina la Baba/Mama/Mlezi……………………………………………………………..….
Anwani
yake………………………………………………………………………………….
Kazi
ya Baba/Mama/Mlezi………………………………………………………………..
Namba
ya simu…………………………………………………..………………………….
AHADI YA MWANAFUNZI.
(a)
Mimi………………………………….nimeyasoma na kuyaelewa maelekezo yote ambayo ni
pamoja na sheria na kanuni za shule na nimekubali kuingia kidato cha tano
katika shule ya sekondari Nyakahura kuanzia tarehe…………………..hadi nitakapo maliza
kidato cha sita.
(b)
Kwa hiyo naahidi kwamba:-
(i)
Nitazitii sheria zote za shule na kutimiza mambo yote muhimu
yaliyotajwa
(ii)
Sitashiriki vitendo vya hujuma wala vitendo ambavyo vitakuwa kinyume
na uongozi wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
(iii)
Nitatunza mali ya umma ambayo ni pamoja na majengo, samani, vitabu
n.k.
Tarehe
…………………sahihi ya mwanafunzi……………………………………..
AHADI
YA MZAZI/MLEZI.
Mimi …………………………………………………..…………….ambye ni mzazi/mlezi wa mwanafunzi……………………………………………………………….ninahaidi
kwamba:-
- Nitashirikiana na uongozi wa shule, walimu na watumishi wasio walimu katika kuhakikisha, mwanangu anatii sheria na kanuni za shule ya sekondari Nyakahura na iwapo atashindwa kutii sheria hizo, nitalazimika kumuondoa katika hosteli.
2. Nitafanya kila niwezalo kumwezesha mwanangu, kusoma kwa kulipa
Ada na michango mingine kama ilivyoelekezwa na shule.
Tarehe…………………………………………………………………………………………
Sahihi………………………………………….Namba
ya simu:…………
Subscribe to:
Posts (Atom)